Monday, March 30, 2015

Inavyoonekana rapper wa ‘Fancy’ Iggy Azalea licha ya kumsamehe Snoop Dogg, lakini bado kuna kitu ameshikilia moyoni mwake.
iggy
Rapper huyo wa Australia alipotua uwanja wa ndege wa Los Angeles Alhamisi usiku aliulizwa na paparazzi wa TMZ kama anaweza kuja kufanya collabo na Snoop baada ya beef yao ya hivi karibuni, na jibu la Iggy lilikuwa swali“would you if you were in my shoes?”.
Wakati huo huo Iggy ameachia single mpya iitwayo ‘Beg For It’ akiwa amemshirikisha MØ.

Add a comment

comments

No comments:

Post a Comment