Marapper wawili Jay Z
na Kanye ambao walikuwa washikaji wakubwa kabla ya kutibuana miezi
michache iliyopita wamekubaliana kukutani ilikuweza kumaliza tofauti
zao.

Kikao cha kumaliza tofauti zao kinatarajiwa kufanyika muda wowote kuanzia sasa ilikumaliza mgogoro wao ambao ulitokana na madai ya kiasi cha dola milioni 3.5 ambazo Kanye alikuwa akiidai kampuni ya Tidal ya Jay Z.
Chanzo cha karibu kimeuleza mtandao wa TMZ, kuwa wawili hao wanatarajia kukutana na jambo linalohusu pesa kwao ni kitu kidogo.
“The Generals [Kanye and Jay] have to meet face-to-face. When that happens, the resolving the money dispute is a piece of cake,” kimeeleza chanzo hicho.

No comments:
Post a Comment