Wednesday, November 5, 2014

DAMIAN SOUL NA JOH MAKINI KUZINDUA WIMBO "NI PENZI" IJUMAA HII.

Rapper kutoka kundi la WEUSI Joh makini na mwanamuziki  mkali wa Rnb Damian Soul wanatarajia kuzindua video ya wimbo "Ni Penzi" ijumaa hii na uzinduzi utafanyika Eskape one jijini Dar es salaam.

Katika uzinduzi huo Damian atapiga show live na bendi yake, vilevile anaakaribisha watu wote kwenda ku-show love na kuenjoy muziki mzuri kutoka kwao.

10655149_637765446341498_155429980_n
DAMIAN SOUL.
Bila kusahau Show ya Funga Mwaka La Weusi inaendelea weekend hii ambapo round hii itakua ni zamu ya Moshi kabla ya kuhamia Mbeya.


No comments:

Post a Comment