Thursday, June 16, 2016

ALICHOKISEMA NUH MZIWANDA KWA SHILOLE BAADA YA VIDEO YAKE YA JIKE SHUPA

 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg3aiMI7C9G_qdOYbAER-9w2YHL2VWJmxeVM6opKddx9aVukNPb0wU0MYPLFGlmx2nS0jBxQB7M8-nWm6MDXgGfnYwlXDxREuJcYdyV7ZZIOVGp7gV3MNAjayeK228Y03G9zguPAKe3cwQ/s1600/11330733_393601790839153_708733590_n.jpg

Nuh Mziwanda ni staa kutoka bongoflevani ambaye anafanya vizuri kwa sasa na hitsingo yake ya Jike Shupa wimbo ambao amemshirikisha Alikiba, June 12 2016 Nuh Mziwanda alitumia mtandao wake wa instagram kuandika maneno yafuatayo kwa aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni Shilole.

Ayo TV pamoja na millardayo.com ilimtafuta Nuh Mziwanda na haya ndio yalikuwa majibu yake kwanini aliamua kuandika maneno kama yale kwenye mtandao wake wa instagram. BOFYA HAPA ktazama video hiyo.

No comments:

Post a Comment