Thursday, June 16, 2016

HUU NDO MUONEKANO MPYA WA CHID BENZ

Msanii wa Bongofleva Chid Benz usiku wa June 15 2016 alipost picha za muonekano wake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutoka Sober house Bagamoyo, alipokuwa amekaa kwa siku kadhaa kama njia ya kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya.

2

Hii ni picha ambayo Chid Benz aliipost katika account yake mpya ya instagram @officialchidibeenz  ambayo ilifunguliwa jana June 15 2016, toka ameifungua hiyo account hadi leo June 16 2016 saa 13:00 ilikuwa imepata jumla ya followers 17.1k.

Chid Benz amepost picha kama tatu za muonekano wake mpya akiwa yupo karibu na Tip top connection ambayo ni lebel iliyopo karibu na Wasafi inayomilikiwa na Diamond Plutnumz hadi kuoelekea tetesi za watu kuanza kusema wenda Chid Benz akasajiliwa Wasafi Record lebel.,


No comments:

Post a Comment