Beyonce ameimba wimbo maalumu kwa ajili ya watu waliouwawa kwenye klabu
ya usiku baada ya mtu mmoja [Omar Mateen] aliyeishambulia kwa bunduki
klabu ya mashoga iliyopo Orlando nchini Marekani, Juni 12 mwaka huu.
Queen Bey ambaye bado anaendelea na ziara yake ya ‘Formation’ aliimba wimbo huo alipokuwa akifanya show kwenye ukumbi wa Detroit’s Ford Field, Michigan.
Tukio hilo lilisababisha vifo vya watu 50 na kuacha wengine zaidi ya 50 wakiwa majeruhi huku mmoja ya watu walionusurika kwenye tukio hilo alisema kuwa aliweza kuona kuona lundo la miili ya watu waliokufa kwenye choo.
Kutazama video ya Beyonce akiimba wimbo huo BOFYA HAPA

No comments:
Post a Comment