Msanii maarufu na mshindi wa tuzo kibao, Romeo Santos ameteuliwa kuwa CEO wa Roc Nation Latin lebel inayomilikiwa na Jay Z.
“Romeo has had tremendous success as a composer and producer and can spot true talent,” alisema Jay Z.
“This is a tremendous step for Roc Nation. We recognize there is a huge Latin market that is part of global culture. We’re proud and ready to enter into true partnership with an individual that intimately lives and knows that culture.”
Santos atakuwa na kazi ya kuchukua na kuwanoa wasanii watakaojiunga na label hiyo ambayo inaendelea kujitanua zaidi duniani. Atasaidiwa na meneja wake wa muda mrefu, Johnny Marines, aliteuliwa kuwa Rais wa tawi hilo.
Roc Nation pia imeonesha mpango wa kuwa na tawi lake Afrika baada ya hivi karibuni kudaiwa kumsainisha msanii wa Nigeria, Tiwa Savage. Rapper yanki wa Afrika Kusini, Nasty C naye alidai kuwa alipigiwa simu na Roc Nation kwa mazungumzo.

No comments:
Post a Comment