Baada ya Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu kukihama Chama cha
Mapinduzi (CCM) na kujivua ubunge amesema kuwa anawashukuru Watanzania
wote waliomletea salaam kuunga mkono kwa uamuzi wake wa kujiondoa na
chama hicho.

Mh. Nyalandu ameyaanisha hayo leo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo amesema kuwa Tanzania iruhusu ushindani na demokrasia ya kweli Tanzania.

Mh. Nyalandu ameyaanisha hayo leo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo amesema kuwa Tanzania iruhusu ushindani na demokrasia ya kweli Tanzania.
NAWASHUKURU Watanzania WOTE walioniletea salaam kuunga mkono uamzi wangu wa kujiondoa CCM. Turuhusu ushindani na demkrasia ya kweli Tanzania
No comments:
Post a Comment