
Arusha ni miongoni mwa miji ya Tanzania ambayo Wakazi wake wanasifa ya kuwa mashabiki wakubwa wa muziki aina ya Hiphop…. ambapo kwenye post hii mashabiki wa A Town wamedhihirisha kweli wakati wa show ya Joh Makini mwamba kutoka WEUSI ambao ni sehemu ya wakali watakaokuepo kwenye Fiesta Ijumaa hii Iringa!! na jumapili Morogoro!! Joh Makini alivyofanya poa A Town City
No comments:
Post a Comment