Monday, October 27, 2014

RAPPER WA KIKE IGGY AZALEA AONESHA DALILI ZA KUTOTAKA KUFANYA COLABLE NA SNOOP DOGG.

Inavyoonekana rapper wa ‘Fancy’ na Record lebel ya Grand Hustlers Iggy Azalea licha ya kumsamehe Snoop Dogg, lakini bado kuna kitu ameshikilia moyoni mwake.
http://www.billboard.com/files/styles/promo_650/public/media/iggy-azalea-650.jpg
IGGY AZALEA.
Rapper huyo wa Australia alipotua uwanja wa ndege wa Los Angeles Alhamisi usiku aliulizwa na paparazzi wa TMZ kama anaweza kuja kufanya collabo na Snoop baada ya beef yao ya hivi karibuni, na jibu la Iggy lilikuwa swali“would you if you were in my shoes?”.

Wakati huo huo Iggy ameachia single mpya iitwayo ‘Beg For It’ akiwa amemshirikisha MØ, ambayo ndio single alioiachia baada ya kushirikishwa na CEO wake T.I katika ngoma ya No Mediocre, pia vilevile Iggy anatazamiwa kuwa ndio best female rapper kwa sasa ukimtoa Nikki Minaj! Kuskiliza Wimbo huo BOFYA HAPA.

No comments:

Post a Comment