Monday, October 27, 2014

DRAKE ASHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE KWA KUACHIA NGOMA TATU!

Rapper kutoka Young Money Cash Money (YMCMB) Drake aachia nyimbo 3 Siku moja baada ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa October 24, Drake ambaye ametimiza miaka 28 ameachia ngoma tatu mpya kwa mpigo.

http://cdn3.hiphopmyway.com/wp-content/uploads/2014/07/Drake-Smile-HD-Wallpaper.jpg
DRAKE.
Drizzy ameachia nyimbo hizo kupitia website yake ya OvoSound pamoja na akaunti yake ya SoundCloud October 25.

Majina ya ngoma hizo ni ‘6 God’, ‘Heat of the Moment’ pamoja na ile iliyovuja hivi karibuni ‘How Bout Now’. Vile vile Rapper huyo raia wa Canada amewashukuru mashabiki wake kwa kumpa support katika muziki wake pia kuahidi kuendelea kutoa hit after hit kama ilivyo kawaida yake.  kuskiliza ngoma, BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment