Hakuna mtu asiyemjua NahReel Mkali wa kugonga midungo afrika na kutengeneza Hit songs kama Don Bother wa kwake Johmakini kamshirikisha A.K.A, OG Original wa G Nako, Zigo ya AY aliomshirikisha Diamond Platnumz na nyingine nyingi.
Hapa ni katika Exclusive interview aliofanya na Millard ayo akizungumzia hualisia wa maisha yake na jinsi alivyoanza mziki hadi kufikia hapa alipo sasa.
Hii ni maalum kwa up Coming Producers pamoja na up coming artists kujifunza changamoto na kusimamia kile unachokiamini hata kama nafasi ni finyu kiasi kwani kutokata tamaa ndo kutakufikisha mahali unapopataka wewe., Kutazama Interview Click HAPA
Hapa ni katika Exclusive interview aliofanya na Millard ayo akizungumzia hualisia wa maisha yake na jinsi alivyoanza mziki hadi kufikia hapa alipo sasa.
![]() |
NAHREEL |
No comments:
Post a Comment