![]() |
PREZZO NA BARAKA DA PRINCE |
Ni Usiku wa Mei 25 , 2016 ambapo muunganiko wa ladha mbili tofauti kutoka Tanzania na Kenya unagusa headlines za burudani baada ya wasanii wawili Baraka Da Prince na Prezzo kuingia studio na kuandaa single yao mpya itakayotoka hivi karibuni.Muunganiko huu wa wasanii wa Afrika mashariki utatoa kitu kikali kwani wengi tunajua ukali wa Baraka na Prezzo.
Single hiyo mpya imetayarishwa katika studio za Fishcrab chini ya producer Sappy, hizi ni baadhi ya picha kutoka studioni hapo.
No comments:
Post a Comment