Rapper kutoka hapahapa Bongo, Darasa anayetamba na wimbo wake wa "Kama Utanipenda " aliyomshirikisha Rich Mavoko , sasa leo June 30, 2016 alikutana na waandishi wa habari kwaajili ya uzinduzi wa single yake mpya iitwayo Too Much.

Wimbo huo mpya umeandaliwa kwenye kipindi cha miezi sita iliyopita Producer akiwa ni Mr. T Touch na kwenye upande wa video mikono ya director Hanscana imehusika.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Darasa alisema…
’Kila
iitwayo leo katika kazi zangu nikiifanya bora zaidi ya jana nashukuru
watanzania wamenielewa kazi zangu, sasa leo niwaletea kitu kipya cha
‘Too Much’ ambacho nimefanyia hapa bongo, nimefanikiwa kuufanya muziki
wangu kuwa wa tofauti katika ladhaa zake, mtihani wangu ndiyo huu kwa
shabiki’
No comments:
Post a Comment