Rapper Future amekava kwa mara ya kwanza jarida maarufu la Rolling Stone
na kuelezea mambo kibao yakiwemo kuvunjika kwa uchumba wake Ciara na
jinsi hitmaker wa Panda, Desiigner anavyoimba kama yeye.
Kuhusu kufananishwa na Desiigner, Future alijibu kwa ufupi sana lakini jibu lilionesha wazi kuwa hamwelewi na hataki kabisa hata kumsikia msanii huyo.
“Huwa siogopeshwi na mtu yeyote,” alisema. “Sitaki hata jina lake liwemo kwenye makala hii.” Kuhusu kuvunjika kwa uchumba wake na Ciara:
Nilikuwa naogopa kinoma. Nilikuwa nimebakiza hatua moja tu kuoa na nilijihisi kuwa nimefeli kwenye umma katika mahusiano. Kisha unataka kurudi kufanya muziki, kujua unachojua. Na kama watu hawatokubali tena kitu kimoja unachojisikia ni kuwa unaweza kubwaga manyanga lakini inaondoka na unajisikia kuwa yamekwisha.

No comments:
Post a Comment