Thursday, June 2, 2016

NEW MUSIC: JAY MO "PESA YA MADAFU"

Jay Moe ameachia ngoma yake mpya ‘Pesa ya Madafu’ iliyotayarishwa na Daz Noledge kupitia studio za Bongo Records.
https://upload.wikimedia.org/wikipedia/sw/1/16/Jay_Mchopnga.jpg
Jay Mo
Jay Mo ambaye ni moja kati ya wasanii wanaoandika mashairi yenye ujumbe mkali pia ni msanii ambaye hatoi nyimbo hovyo hovyo kutokana na game ya muziki sikuizi imekuwa nyepesi sana.

Kuskilza ngoma hiyo BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment