Wednesday, June 1, 2016

G NAKO, QUICK ROCKA NA JUX NDANI YA SINGLE MOJA, SINGLE INAITWA "HAPO" UNAWEZA KUISIKILIZA HAPA.

Usiku wa May 28 2016 ndio siku rasmi ambayo wasanii wa Bongfleva G Nako, Quick Rocka na Jux waliamua kufanya uzinduzi wa video ya ngoma yao waliofanya pamoja ‘Hapo’ uzinduzi ulifanyika Azura Beach, sasa leo wameachia rasmi single ya video yao iitwayo Hapo.



 Hakuna mtu asiyejua uwezo wa wasanii hawa kwani ni wasanii wenye njaa na huu mziki, G Nako ana ngoma yake mpya inayofanya vizuri inaitwa AROSTO huku Jux akiwa ameachia hits mbalimbali ikiwemo Looking for You aliomshirikisha Joh Makini,. Quick Rocka amekuwa kimya kwa muda kidogo lakin ngoma hii imemrudisha kwa Quick ni master wa Collable hata ukimpa chorus anafanya vizuri pia.

Kuiskiliza ngoma BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment