Wednesday, June 1, 2016

VIDEO 7 KUBWA ZA BONGO ZILIZOCHEZWA TRACE URBAN NA MTV BASE MAY 31 2016.

Ni fahari kwa kila msanii sasa hivi kuona video yake imechezwa kwenye TV za kimataifa kama TRACE URBAN na MTV BASE zikiwa ni TV stations ambazo zina mamilioni ya Watazamaji kwenye nchi mbalimbali za Afrika. 
Mtanzania Mayunga ambaye ni mshindi wa shindano la AIRTEL TRACE MUSIC STAR amepata shavu ya kuchezwa zaidi ya mara moja kwenye TRACE kupitia single yake mpya aliyomshirikisha Akon‘dont go away’


20160531_200626 
Mtanzania Vanessa Mdee ni miongoni mwa Watanzania waliochezwa pia kwenye TRACE URBAN kupitia single yake ya ‘niroge‘ na kwenye ila orodha ya nyimbo kumi kali single hii imeshika namba 4 na inaonekana imeshuka kwa nafasi kutoka wiki iliyopita lakini kwa upande wa MTV BASE ‘niroge’ imechezwa kama bonus kwenye Top10 yao.

20160530_184723 

Watanzania wengine walioshine ni Navy Kenzo na smash hit ya ‘kamatia chini‘ ambayo imeingia kwenye TOP 10 ya Africa na kushika nafasi ya nne.

20160531_214106 

Hit single ya Ben Pol ‘moyo mashine‘ imedondoshwa kwenye kioo cha TRACE URBAN pia kama brand new video ikiwa ni video ambayo imefanywa Afrika Kusini na ni video ya tofauti kati ya videoz alizowahi kufanya Ben Pol.

derrr4444 

Kuendelea kutazama list hii ya video za kutoka Bongo land Click HAPA.

No comments:

Post a Comment