Tuesday, July 5, 2016

DIAMOND ATOA UFAFANUZI KWANINI PICHA YA ALLY KIBA IMEONEKANA WCB RECORDS

Diamond Platnumz amefunguka kuhusiana na picha ya Alikiba iliyowekwa katika ofisi za WCB.

dIAMOND-344

Akiongea na mtangazaji wa Clouds FM, Perfect Crispin katika Perfecto TV, amesema:
“Unajua ofisi ya WCB sio ya Diamond Platnumz tu sio ya Harmonize sio ofisi ya wakina Tale ni ofisi ya muziki wa Bongo Fleva ambayo imekuwepo kuleta maendeleo kwenye muziki wetu. Kwahiyo nimeamua kuweka zile picha za mastaa Kwamba ndio wasanii wenye mchango kwenye muziki wetu.”

Kutazama interview ya Diamond CLICK HAPA.

No comments:

Post a Comment