Tasnia ya muziki duniani imebadilika kwa kiasi kikubwa na hivyo hivyo
pia wasanii wanatakiwa kwendana na mabadiliko hayo, lasivyo wataachwa
nyuma. Jay Moe ni mmoja wa watu ambao wameushtukia mchezo.
“Nimegundua kwamba sasa unahitaji vitu vingi na kujihusisha zaidi kuwekeza kwenye timu yako hata kama huna label unahitaji uwe na graphic designer wako kwasababu kila siku unahitaji kupost kitu kilichodizainiwa vizuri, unahitaji kuwa na photographer ili kila siku upate picha tofauti, matukio tofauti, watu waende Youtube,” Jay Moe alikiambia kipindi cha E-News cha EATV.
Amedai kuwa yeye pia humtokea pale anapokuwa nje ya nchi ambapo watu hushangazwa kuona akaunti yake ya Youtube haina vitu.
Ameongeza kuwa muziki wa sasa si wa kutoa nyimbo tu bali mashabiki wanataka kuona maisha mengine ya msanii kupitia mitandao ya kijamii.

No comments:
Post a Comment