Thursday, July 7, 2016

MPENZI MPYA WA TREY SOGS.

Trey Songz ameungana na wanaume wenye uhusiano na warembo wa The Kardashians.

http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/07/wp-1467876821855.jpeg

Muimbaji huyo wa R&B ana uhusiano wa kimapenzi na staa wa ‘Keeping Up With the Kardashians’,  Khloe Kardashian .

Mapema mwezi huu wawili hao walionekana kuwa na ukaribu usio wa kawaida kwenye kiota cha raha mjini Las Vegas.

Khloe alikuwa mke wa mchezaji wa kikapu Lamar Odom. Amewahi pia kuwa na uhusiano na rapper French Montana

No comments:

Post a Comment