Thursday, July 21, 2016

RIHANNA ATOA ZAWADI YA WIMBO WAKE "DIAMOND" KWA WATU WALIOUAWA NICE NCHINI UFARANSA.

Rihanna ametoa zawadi ya wimbo wa ‘Diamond’ kwa watu 84 waliouawa wiki iliyopita jijini Nice, Ufaransa.

https://static01.nyt.com/images/2015/10/12/t-magazine/12tmag-rihanna-add-t/12tmag-rihanna-add-t-blog427.jpg

Muimbaji huyo alilazimika kusitisha kufanya show ya ziara ya dunia ya Anti kwenye mji huo kutokana na mauaji hayo. Akifanya show yake kwenye mji wa Lyon wiki hii, Rihanna amesema, “Tonight is the night I wish I could have experienced with my fans in Nice.”

“This next song I want to dedicate to the people of Nice. To the people who’ve suffered, to the people who’ve been traumatized and their families. I need you to help me light this building up,” aliongeza kabla ya kuimba wimbo wa ‘Diamond’.

Bofya HAPA kutazama video.

No comments:

Post a Comment