Shaa amedai kuwa wimbo wake mpya, Sawa utakuwa na video mbili.
Video ya kwanza ilifanyika kitambo kidogo na kuongozwa na Justin Campos.
“Kuna version hiyo ambayo ameishoot Campos ambayo kidogo ni mambo ya swagga, kuuza sura, kuuza mambo ya nywele, lipstick, usistaa duu fulani,” amesema Shaa.
“Lakini video ya pili imesimamiwa na director Nick Dizzo ni wa hapa hapa nyumbani kwa wale ambao wanamfahamu, wanafahamu kazi zake ni nzuri sana,” ameongeza.
Amedai kuwa video aliyoifanya Nick Dizzo ni ya kucheza zaidi.
“Dance video zaidi itakuonesha tu kwamba jinsi gani ya kuucheza wimbo Sawa, mauno gani mtoto wa kike au mtoto wa kiume vile vile unaweza ukayakata.”
Bofya Hapa Kutazama Video.

No comments:
Post a Comment