Saturday, July 9, 2016

SNOOP DOGG AMZAWADIA KOBE BRYANT GARI HII.

Rapper mkongwe Snoop Dogg ni shabiki mkubwa wa mpira wa kikapu hasa timu ya Lakers na mchezaji wake aliyekuwa akimkubali ni Kobe Bryant.

snoop-4

Baada ya Kobe aka Black Mamba kutangaza kustaafu, Snoop amempa gari classic staa huyo ambalo lina picha ya Snoop akiwa amevalia jezi ya Lakers na kushikilia kikapu cha Larry O’Brien.

Gari hilo limepambwa na rangi za Lakers nje na ndani na wakati anakabidhiwa gari hilo Snoop aliandika Instagram “The gift that keeps on giving,Enjoy it mamba.”

snoop-2

No comments:

Post a Comment