Muhesabie tu siku maana kwa ukali wake
Mungu akijalia ni soon atakua kwenye headlines nzito zaidi ya alizonazo
sasa hivi, jina lake la kuzaliwa ni Allan Kyariga, alizaliwa Canada baba akitokea South Africa na mama akitokea Tanzania
Ujazo wa jina la Allan Kingdom ambaye kwa sasa anaishi Marekani, uliongezeka alipotumbuiza na rapper maarufu duniani Kanye West, leo katuletea video mpya ambayo ameifanya Jamaica ikiwa ni kolabo na Chronixx, ukishaitazama usiache kutoa comment yako ili Allan ajue Watanzania wameipokeaje.
Kutazama video CLICK HAPA.

No comments:
Post a Comment