Msanii Walter Chilambo, amefanya Cover ya wimbo ambao unafanya vizuri
kwasasa wa “Moyo Mshine”, ambao umeimbwa na mkali wa R&B Ben Poul,
Walter chilambo amekuwa ni msanii anajua sana kufanya cover za nyimbo za wasanii wenzie kwani kila cover aliofanya inakuwa kali na kueleweka kwa mashabiki, moja kati ya cover ambazo walter amefanya na zikafanya vizuri ni wimbo wa Raymond Kwetu.

No comments:
Post a Comment