Kwa mara ya kwanza, DJ Khaled amekamata nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard 200 kwa album yake mpya, Major Key.
Album hiyo imekamata nafasi ya kwanza kwa kuuza kiwango cha album kinacholingwanisha kufikia kopi 95,000 (equivalent album units) hadi kufikia Aug. 4, kwa mujibu wa Nielsen Music.
Katika idadi hiyo, 59,000 yalikuwa mauzo ya kawaida ya album na kuwa mauzo makubwa zaidi kwa ya DJ Khaled kwa wiki tangu mwaka 2007. Major Key ilizinduliwa July 29 kupitia We the Best/Epic Records.
DJ Khaled aliingia kwenye Billboard 200 miaka 10 iliyopita na Listennn: The Album iliyokamata nafasi ya 12. Santuri hiyo imeshirikisha wasanii wenye majina wakiwemo Jay Z, Nicki Minaj, Kendrick Lamar, Lil Wayne, Rick Ross, Nas, Future, 2 Chainz, Meghan Trainor na wengine.

No comments:
Post a Comment