Monday, August 1, 2016

STAMINA KUACHIA NGOMA ALIYOWASHIRIKISHA ROMA NA JAY MO.

Rapper kutoka Morogoro, Stamina Jumanne hii anaachia remix ya wimbo ‘Mmeniroga’ aliowashirikisha rappers wanaofanya vizuri kwa sasa Roma na mkongwe katika muziki huu, Jay Moe.

Stamina Remix

Ngoma hiyo imefanyika katika studio za Kiri Records chini ya mtayarishaji wa Rash Don.

No comments:

Post a Comment