Marapper wawili nguli wa marekani 50 Cent na P Diddy ni paka na panya.
Na sasa 50 ameenda mbali zaidi baada ya kumkataza DJ mmoja kucheza wimbo wa rapper huyo tajiri zaidi Marekani. Kwenye show moja ya 50 hivi karibuni, DJ alianza kucheza wimbo wake mwenyewe ‘I Get Money.’ Tatizo wimbo huo ulikuwa ni remix ambayo Diddy na Jay Z wamo.
Baada ya kuusikia, rapper huyo alienda kwa DJ na kumwambia auzime wimbo huo hasa sehemu anayosikika Diddy. “Turn that shit off,” alisema.
50 Cent amekuwa akimrushia vijembe Diddy kwa muda mrefu sasa ikiwa ni pamoja na kuponda kilevi chake cha Ciroc.

No comments:
Post a Comment