Saturday, September 24, 2016

Trey Songz azungumzia muziki wa Afrika, ubaguzi Marekani na mengine.

Trey Songz alipata fursa ya kuzungumza na mtangazaji wa NTV, Larry Madowo kuhusu mambo kibao kuanzia Afrika na muziki wake, alivyojisikia kwenda Kenya na kurekodi na wasanii wa Afrika akiwemo Vanessa Mdee na wengine, ubaguzi wa rangi unavyoendelea Marekani na mengine kibao.



Amezungumzia pia jinsi alivyo na hamu ya kufanya wimbo na Beyonce.

Akiwa Kenya staa huyo alipata fursa ya kupanda matatu na kuzunguka Nairobi.

14294784_958858954242469_3282623618634219520_n

14276418_1479539792063112_1134167972290494464_n
Kusikiliza interview CLICK HAPA.

No comments:

Post a Comment