- Beat ya wimbo huu ilitengenezwa kwa dakika 30 tu.
- Haikutengenezwa kwaajili ya msanii Tekno, ilikua ni ya msanii mwingine ambaye aliikataa kwa kudai ni nyepesi sana.
- Tekno aliikuta ikiwa imekamlika kila kitu na producer alianza kuidharau baada ya kakataliwa na msanii aligongewa mdundo huo.
- Kwa mujibu wa SoundCityTV, Pana ni wimbo unaoongoza kwa kupigwa zaidi kwenye radio station zote barani Afrika.
Thursday, October 13, 2016

Burudani Mambo manne usiyoyajua kuhusu wimbo wa Pana kutoka kwa Tekno.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment