Rapa Edu Boy amefunguka na kusema hakumchana Vanessa Mdee katika wimbo
wake ‘Naiee’ kwa vile ana chuki naye bali ni kuleta changamoto kwa
wasanii kuendelea kusaidiana.
Akizungumza na kipindi cha The Play List cha Times Fm, Rapa huyu amesema kuwa hata akikutana na Vanessa ataongea nae vizuri kabisa.
Hata hivyo Edu Boy alifunguka sababu ya kumchana Vanessa kuwa alimtumia cover ya wimbo amsadie kupost kwa sababu akipost watu wengi sana wataona nje ya Afrika na yeye kusongea kimuziki.
“Nilimtumia cover yangu nikampa na deadline, lakini hadi ikafika siku ya kutoa wimbo kimya, nikaona sio mbaya nikimkumbusha kwa kumpigia simu.
“Lakini aliniambia Edu Boy usinisumbue na hicho kicover chako, sasa nikasema mbona hata sijamuambia na shida yangu, sijawahi hata kumpigia simu kumkumbusha au vipi, sasa inakuwaje vitu kama hivi, kama haiwezekani siumuambie mtu mdogo wangu haiwezekani,” alisema Edu Boy.

No comments:
Post a Comment