Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema
amepokea barua ya Katibu Mkuu CCM ikimuarifu kuwa walishaanza
kumchukulia hatua Nyalandu kutokana na kauli na vitendo vyake. Ambapo
CCM imeeleza kuwa Oktoba 30 walimuandikia Spika barua kuwa, Nyalandu
amepoteza sifa za uanachama wake na kwamba wamemvua nafasi zote za
uongozi, hata hivyo Spika amesema kuwa hajapokea barua ya kujiuzulu kwa
mbunge huyo.

Soma taarifa kamili hapa chini

Soma taarifa kamili hapa chini

No comments:
Post a Comment