Monday, September 10, 2018

Mtanzania aliyeshinda TKO England amemtetea mkalimani wake kwa tuhuma za uongo

Utetezi wa Bondia mtanzania Hassan Mwakinyo kwa meneja wake Nassor Rashid aliyedaiwa kutafsiri uongo baada ya bondia wake kumpiga muingereza kwa TKO Birmgham England.
Nassor Rashid ambaye alikuwa kama mkalimani baada ya vyombo vya habari vya England kufanya interview na Hassan, alifanya utafsiri kwa kuongeza maneno ambayo hajasema Hassan lakini lengo lake likiwa ni kumtafutia mapambano makubwa zaidi.
Hata hivyo Nassor nae amejitetea kuwa alitumia fursa ile kufanya vile sio kwa lengo la kupotosha ila kumuombea bondia wake mapambano makubwa zaidi kwani ile ndio ilikuwa fursa pekee kwake kwao kufanya hivyo kwa medi nyingi zilikuwa zinawapa attension.

1 comment:

  1. Baccarat - Play Baccarat, Roulette & More - FEBCasino
    Play online baccarat, roulette & more in one of 인카지노 our 1xbet classic casino 바카라 사이트 card games, with no Baccarat, Baccarat, & More | FEBCasino.com | FEBCasino.com | FEBCasino.com.

    ReplyDelete