Ben Pol amefanya kava ya wimbo wa msanii wa Uingereza, Sam Smith ‘Stay
With Me’. Kwa uwezo wa sauti yake kwenye wimbo huu ni wazi kuwa Ben ni
msanii bora wa rnb kuwahi kutokea Tanzania. Production imefanywa na
Mswaki. Noma sana. Kuskilza wimbo huu Click HAPA.
No comments:
Post a Comment