Saturday, September 20, 2014

FLAVOUR NA VICTORIA KIMANI NDANI YA COKE STUDIO!!

Wanamuziki wa Nigeria Mr Flavour na Victoria kimani wakifanya show nzuri na kali ndani ya Coke Studio, hii ni moja ya mfumo mzuri walioazisha coca cola kuwakutanisha wanamuziki wa Afrika kutoka nchi mbali mbali!. Tanzania tunawakilishwa na Diamond Platnumz, Johmakini na Vanessa Mdee. Wanamuziki wa Tanzania pateni funzo kupitia show hii ya Flavour na Victoria kimani. Ada Ada, Flavour and Victoria Kimani, Coke Studio.
http://africanentertainment.com/blog/flavour-victoria-kimani-in-kenya-for-coke-studio-africa-recording/

1 comment: