Monday, September 22, 2014

HUSSEIN MACHOZI AACHIA VIDEO MPYA.!



Star wa mziki wa Bongo Fleva Husssein Machozi ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la MIMI NAWE, hii ni kutokana na ukimya uliokuwepo kwake kwa muda mrefu! hopfully ngoma hii itapewa support mtaani kwa maana kazi ni nzuri na ujumbe unaeleweka! Kucheki video ya ngoma hii Click hapa

No comments:

Post a Comment