Mwanadada anaefanya vizuri katika Rap game duniani Iggy azalea anamlaumu boy friend wake kwa kuvujisha mikanda ya ngono ambayo inasemekana jamaa alimrekodi kipindi wapo katika relationship kabla ya kuachana.
Hii ni kashfa kubwa na mbaya ambayo inaweza kumchafulia jina na kumpoteza Iggy katika ramani ya muziki asipokuwa na uthibitisho sahihi ambao utaweka kumnasua katika kashfa hiyo.
No comments:
Post a Comment