P Square
Davido & Whizkid
Flavour
Hawa ni baadhi tu ya Wanamziki wa kinigeria wanaofanya vizuri hapa nchini kwetu, wapo wengi ila kwa leo tunaanza na hawa kwa sababu inaonekana muziki wao ndio unabadilisha muziki wa kitanzania kwa kasi ya ajabu! so hatuwezi kufanya mziki wetu nao ukafika level za muziki wa hawa jamaa!?? majibu tunayo wenyewe., Ili muziki wa kitanzania ukuwe tunahitaji CHANGES kubwa sana! Tuwe wa kweli!! Main streem haiko hivyo. (My opinions)

No comments:
Post a Comment