Nicki Minaj ambaye jana Jumanne (Oct. 28) alitarajia kuachia single
mpya aliowashirikisha wasanii watatu, Drake, Chris Brown na lil Wayne amesogeza mbele tarehe ya kutoa
album yake ya tatu.
Sasa ‘The Pinkprint’ inatarajiwa kutoka December 15 badala ya November 24 iliyokuwa imepangwa awali.
Mashabiki wa Minaj wanasubiri kwa hamu kuisikia single yake mpya ‘Only’ ambayo kawashirikisha Chris Brown, Drake na Lil Wayne kwa pamoja.
Hii imetokea kutokana na mambo mengine ya lebel yake kwasababu kuna rapper mwingine ambaye ni Tyger album yake imekwisha na iko mbioni kutoka, hivyo basi jinsi ya kuachia album inatakiwa kuwa kwa mpangilio. Mashabiki wa Nikki Minaj wamesema wapo tayari kuipokea album hiyo kwasababu wanamkubali sana mwanadada huyo.
![]() |
NIKKI MINAJ |

No comments:
Post a Comment