Friday, October 3, 2014

RICKROSS NA R KELLY NDANI YA NGOMA MOJA! "kEEP DOIN THAT"




http://go.rollingout.com/wp-content/uploads/2013/11/rick-ross.jpg
RICKROSS.
 Boss wa Maybach Music Group (MMG) na Rapper  Rick Ross ameachia single mpya iitwayo ‘Keep Doin’ That (Rich B**ch)’ alhamisi ya wiki hii, wimbo ambao amemshirikisha R.Kelly.

‘Keep Doin’ That (Rich B**ch)’ ndio official single ya kwanza kutoka kwenye album mpya ya Rozay ‘Hood Billionaire’ inayotarajiwa kutoka November 24.

Wimbo huo umefanyiwa shooting Jumatano ya wiki hii huko Georgia, na miongoni mwa mastaa wataoonekana ni pamoja na Young Jeezy.

No comments:

Post a Comment