Week
iliyopita Izzo B alifunguka Gharama za Video yake ya Wimbo wa Walala Hoi
kwa Kusema Ameifanya kwa Milioni moja na Laki Tatu Pale kwa Director
Nick Dizzo ...Sasa Embu Angalia Hii Video Alafu Uniambie Kama kweli Kuna
Ulazima wa Kwenda Nje Kufanya Video za Milion 40.
 |
IZO BUSINESS ON ACTION. |
Audio
yake imefanywa na mikono ya producer Dupy kutoka Uprise Music na video
imeafanywa na Director Nick Dizzo ambaye ameshiriki kuongoza video
kadhaa ikiwemo ya Nishike Mkono ya D Knob, My baby ya Quick Rocker.
Hii story ni kutoka Bongo Swaggz, ingia hapa kuweza kutizama video hiyo.
No comments:
Post a Comment