Tamasha linalotazamiwa kuwa la aina ya kipekee ambalo litafanyika siku ya Jumapili katika viwanja vya Mbagala Zakhem litakusanya vichwa vikali vya mziki wa Bongo fleva pamoja na artist wengine waliowahi kufanya vizuri miaka ya nyuma wakiwemo Mr Two a.k.a Sugu. Mkoloni, Nature na wakali wengine
Tamasha hili ni mahususi kabisa kwa uhamasishaji vijana kujitambua na kujitokeza katika vituo vya kupiga kura ifikapo October 25, 2015.. kwani changes ya nchi ya hii inahitaji vijana kujitambua na kujitokeza kwa vingi katika vituo vya upigaji kura. UCHAGUZI KWA AMANI 2015.

No comments:
Post a Comment