Wiki chache baada ya Star wa muziki kutoka hapa +255 Diamond platnumz kupata mtoto wa kike, mengi yameendelea kuzungumzwa katika mitandandao ya kijamii na magazeti kuhusiana na mtoto wake Princess Tiffah na mama mzaz wa mtoto huyo Zari the boss lady.
Kubwa lililojiri kwa sasa mitandaoni ni kuhusiana na EX wa zari kudai kuwa mtoto huyo ni wake na sio wa Diamond, tukio ambalo limewashangaza mashabiki wa diamond na kusababisha kila mtu kuzungumza lake huku EX wa mwana mama huyo kuonekana hana jipya kapotea njia.
Kwa upande wa pili Diamond na Zari wameonekana kutojali shutuma hizo kwani wanaonekana wenye kujali mambo yao na kumshukuru mwenyez Mungu kwa kupata mtoto huyo ambaye atazidisha furaha katika maisha yao.
Kupata taarifa ya nini kilitokea, nini mashabiki wameandika kuhusu tukio hilo na info zingine nyingi CLICK HAPA
Kubwa lililojiri kwa sasa mitandaoni ni kuhusiana na EX wa zari kudai kuwa mtoto huyo ni wake na sio wa Diamond, tukio ambalo limewashangaza mashabiki wa diamond na kusababisha kila mtu kuzungumza lake huku EX wa mwana mama huyo kuonekana hana jipya kapotea njia.
![]() |
Diamond Platnumz akiwa na Mchumba wake Zari pamoja na Mama yake mzazi bila kumsahau Malaika wao Princess Tiffah. |
Kupata taarifa ya nini kilitokea, nini mashabiki wameandika kuhusu tukio hilo na info zingine nyingi CLICK HAPA
No comments:
Post a Comment