
Trace Urban imeendelea kuwa kituo kikubwa cha burudani ambayo imesambaa kwenye huduma ya kulipia iliopo ndani ya mataifa mengi barani Afrika ikiwa na viewers wengi kutokana na kupiga ngoma kali kutoka dunian kote, ndani ya African Top 10 ya Trace Urban Alhamis June 2 2016 watanzania wawili wakiwemo ambao ni Nedy Music ft Ommy Dimpoz na kibao chake usiende mbali sambamba na Vanessa Mdee na ngoma yake ya Niroge imeshika nafasi za juu.
10.Nedy Music ft Ommy Dimpoz – usiende mbali, Miongoni
mwa watanzania walioingia katika list hii ya ngoma kali za kiafrika na
hii ni single yake ya kwanza kabisa akiwa chini ya Ommy Dimpoz na ikiwa
inafanya vizuri.

2.Vanessa Mdee – Niroge, Msanii huyu wa pili kutoka Tanzania ndio kuingia katika countdown hii ngoma yake hii ikiwa inafanya vizuri na kushika nafasi hii ya juu.

Inaleta faraja kuona wasanii kutoka Tanzania wakifanya vizuri katika Television za kimataifa kama TRACE na MTV kwani hii inaonesha ni kiasi gani muziki wetu unakua/umekua kwa kasi kubwa barani Afrika.
Pia vievile hii inaletwa na changamoto ya kwamba hivi sasa muziki umekua ni ajira kwahiyo kila msanii anapigana kutoa kazi kali ambayo itaweza kuchezwa katika stations kama izo.
No comments:
Post a Comment