Thursday, June 30, 2016

BILNASS AZUNGUMZIA MAISHA YAKE YA NYUMA KIMZIKI.


Staa kutoka kiwanda cha bongoflevani anayefanya vizuri na hitsong yake ya ‘Chafu Pozi’ (Billnas) time amepata nafasi ya kuzungumza na Ayo TV kuhusu historia ya maisha yake pamoja na changamoto alizokutana nazo.

Akizungumza na Ayo TV alisema….’Katika maisha nilikuwa sipendi sana kukaa karibu na wazazi niliondoka nikiwa mdogo sana na kuamua kuingia kitaani kutafuta maisha yangu na ndio maana leo hii naendelea kulisongesha gurudumu la muziki wangu huku nikiwa naendelea na masomo yangu pale CBE. BOFYA HAPA kucheki video.
 

No comments:

Post a Comment