Baada ya kufanya vizuri na brand yake ya Yeezy, rapper kutoka Marekani, Kanye West amepata dili jipya na kampuni ya Adidas.
Eric Liedtke ambaye ni CMO wa Adidas amelisema, “Kanye is a true creator who has the ability to see things others don’t. With adidas + Kanye West we are exploring new territories by opening up the sports world to Kanye’s creativity.”
Aidha kampuni ya Adidas imepanga kutoa bidhaa zake kwa wanamichezo na wasio wanamichezo na kufungua maduka mbalimbali ili kutanua wigo wa kibiashara. Hii itakuwa ni hatua kubwa ya kibiashara na uwekezaji mkubwa anaoufanya rapper huyo kwenye tasnia ya fashion ambapo unatarajia kumuingizia hela nyingi sana hapo baadaye kupitia muunganiko huo na kampuni ya Adidas.
Kanye West wiki hii ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Famous’ unaowaonyesha baadhi ya mastaa na wanasiasa wa Marekani wakiwa wamelala kitandani huku wakiwa watupu.

No comments:
Post a Comment