Sunday, June 5, 2016

DJ KHALID KUJANA NGOMA MPYA ALOMSHIRIKISHA DRAKE

Rapper ambaye pia ni Dj "Dj Khaled" amepanga kuachia nyimbo mpya ‘For Free’ aliyomshirikisha Drake hivi karibuni kabla ya kuachia albamu yake mpya, ‘Major Key’.

 Dj

Khaled ambaye bado yupo kwenye ziara ya Queen Bey ‘Formation’ amepanga kuachia wimbo huo ambao utakaribisha ujio wa albamu yake hiyo mpya ambayo amepanga kuiachia mwaka huu.

Kwenye albamu hiyo amewashirikisha mastaa kibao kama Lil Wayne, Drake, Rick Ross, Big Sean, Chris Brown, August Alsina na Travis Scott na itakuwa ni album ya kwanza kwa Dj Khaled akiwa chini ya menejimenti yake mpya ya Roc Nation inayomilikiwa na Jay Z.

No comments:

Post a Comment