Sunday, June 5, 2016

NICK CANNON ATAKA BATTLE NA EMINEM

Rapper Nick Cannon amemtaka Eminem kwenye kuchana baada ya siku chache kutangaza kutoa dau la dola laki moja kwa msanii atakayemshinda kwenye shindano la kughani litakalofanika Juni 25 mwaka huu kwenye BET Awards.

http://images.lifeandstylemag.com/uploads/posts/image/53272/nick-cannon.jpg
Nick Cannon
Akiongea na Tim Westwood, Nick Cannon alisema “I’m still ready! I’m trying to find him. Where is he?”
Corey Charron, King Los, Bow Wow na Murda Mook ndio wasanii pekee waliotangaza kushindana na Nick Cannon kwenye shindano hilo.

Nick Cannon kamtaka Eminem kwa sababu ndiye Rapper bora wa mitindo huru hivyo kushindana na ye kutaleta attention kubwa kwa watu, Eminem bado ajajibu chochote kuhusu kauli ya nick Cannon kama atashiriki katika battle hiyo au hatashiriki.

 Kutazama video ya Nick Cannon akizunguma hayo BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment