Monday, June 6, 2016

WEUSI WALIVYOPIGA SHOW YA MAANA SINGIDA

Ni June 3, 2016 ambapo wakali wa Hip Hop wanaounda kundi la Weusi walitoa burudani ya nguvu kwa wakazi wa Singida. Ambapo siku iliyofata Weusi walikutana na watu wa Tabora na kuwapa burudani ya nguvu.

 

Weusi wanafahamika kwa show kali wawapo on stage hivyo sehemu watayobahatika kupanda stejini wakazi wa maeneo hayo ufurahia burudani ya maana. Tour bado inaendelea kwahiyo watu wakae tayari kwa maeneo mengine watakayo tangaza kupita na kuacha burudani.

tazama video video yao  HAPA.

No comments:

Post a Comment